• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rafael Nadal ashindwa na Gilles Muller katika michezo ya Tennis

    (GMT+08:00) 2017-07-11 10:11:53
    Matumaini Rafael Nadal ya kushinda taji la Wimbledon kwa mara ya tatu yaliambulia patupu baada kushindwa kwa seti tano na mpinzani wake Gilles Muller kutoka Luxembourg.

    Nadal ambaye ni Bingwa mara 15 alijaribu kutoka nyuma alipokuwa seti mbili chini kabla Muller kuchukua pointi tano kuhakikisha ushindi wa 6-3 6-4 3-6 4-6 15-13 baada ya saa nne na dakika 47.

    Hii iliizamisha ndoto ya raia huyo kutoka Uhispania ya kushinda kombe la French Open na Wimbledon mtawalia na kushikilia rekodi ya pamoja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako