• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa 8 wa Kamati ya pamoja ya Makubaliano ya nyuklia ya Iran kufanyika hivi karibuni

    (GMT+08:00) 2017-07-12 09:47:52
    Naibu waziri wa mambo ya nje wa Iran na mwakilishi wa Iran kwenye mazungumzo ya nyuklia Bw. Abbas Araghchi, amesema mkutano wa nane wa Kamati ya pamoja ya Makubaliano ya nyuklia ya Iran utarajiwa kufanyika Julai 21 huko Geneva. Bw. Araghchi amesema hatua za mfululizo zilizochukuliwa na serikali ya Marekani zimekiuka makubaliano ya nyuklia ya Iran, na masuala husika yatajadiliwa kwenye mkutano huo.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako