• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Marekani lasema bado haliwezi kuthibitisha kifo cha kiongozi wa kundi la IS

    (GMT+08:00) 2017-07-12 09:50:42

    Jeshi la Marekani limesema bado haliwezi kuthibitisha kifo cha kiongozi mkuu wa kundi la IS Abu Bakr al-Baghdadi.

    Jeshi la Marekani pia limesema, mwezi uliopita vyombo vya habari vya Russia vilitoa habari kuwa huenda al-Baghdadi aliuawa kwenye mashambulizi ya anga yaliyofanywa na jeshi la Russia nchini Syria, lakini habari lilizopata jeshi la Marekani zilionesha kuwa, Al-Baghdadi hakuuawa kwenye mashambulizi hayo.

    Vyombo vya habari vya Iraq jana vilisema, kundi la IS limekiri kifo cha Bw Al-Baghdadi, na kundi hilo litachagua kiongozi mpya baadaye.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako