• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda: soko mpya Mbarara la patia nafasi wafanyibiashara 3,000

  (GMT+08:00) 2017-07-12 19:53:35

  Soko mpya Mbarara litapatia nafasi wafanyibiashara 3,000 kufanya biashara zao.

  Soko la kisasa la sh bilioni 23 za Uganda linatarajiwa kuanza kufanya hivi karibuni .

  Soko hili linajengwa chini ya mpango kuboresha masoko na kilimo biashara, na ilifadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako