• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wanabishara hawataki kuuza unga Sh90 kwa madai hauna faida

  (GMT+08:00) 2017-07-12 19:54:09

  Wanabiashara katika eneo la Kaskazini mwa rift valley hawataki kuuza unga wa mahindi uliopunguzwa bei na serikali kwa kuwa hauna faida kwao.

  Wafanyibiashara wanaoathirika zaidi na unga huo wa sh90 kwa kilo mbili ni walio katika maeneo ya mbali ambao hutumia pesa nyingi kusafirisha bidhaa hiyo kutoka miji mingine.

  Baadhi ya wauzaji kutoka maeneo yaliyo na chanagmoto ya kiusalama kama vile Pokot Magharibi, Baringo naElgeyo Marakwet wamepuuza agizo la serikali na wanauza unga huo kwa bei inayozidi Sh90 ili kugharamia kiwango wanachotumia kusafirisha bidhaa hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako