• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zaidi ya watu elfu 13 walifariki dunia kwenye ajali za barabarani Afrika Kusini mwaka wa fedha 2015/16

    (GMT+08:00) 2017-07-13 08:54:08

    Mhandisi mkuu wa idara ya barabara na uchukuzi ya jimbo la Gauteng Afrika Kusini amesema ajali za barabarani zilizotokea katika mwaka wa fedha 2015/16 nchini humo zilisababisha vifo vya watu zaidi ya elfu 13 na hasara ya kiuchumi dola bilioni 10.8 za kimarekani, ikiwa ni asilimia 3.4 ya pato la taifa. Ofisa huyo amesema chanzo cha tatizo hilo ni usimamizi dhaifu wa usalama barabarani, na kukosekana kwa hatua madhubuti za kuelekeza mawasiliano barabarani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako