• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jack Ma kushirikiana na UNCTAD kuhimiza ujasiriamali wa vijana barani Afrika

    (GMT+08:00) 2017-07-13 08:54:27

    Mjasiriamali wa China Bw. Jack Ma atashirikiana na mkurugenzi mkuu wa Shirika la biashara na maendeleo la Umoja wa Mataifa UNCTAD Bw. Mukhisa Kituyi katika kuhimiza ujasiriamali na biashara ndogo miongoni mwa vijana wa Afrika. Bw. Jack Ma anatarajiwa kwenda Afrika kwa mara ya kwanza mwezi huu na kukutana na vijana mjini Nairobi Kenya na Kigali Rwanda, kwa lengo la kuwawezesha wajasiriamali vijana na biashara ndogo barani Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako