• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa zamani wa Brazil ahukumiwa kifungo cha miaka 9 na nusu jela

    (GMT+08:00) 2017-07-13 08:55:06

    Rais wa zamani wa Brazil Bw. Luiz Inacio Lula da Silva amehukumiwa kifungo cha miaka tisa na nusu jela kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya ufisadi na wizi wa mabilioni ya dola kutoka kampuni ya mafuta ya taifa. Katika miezi iliyopita Bw. Lula ambaye alikuwa rais wa Brazil kuanzia mwaka 2003 hadi 2011, ameungwa mkono wa watu wengi kuwa rais mpya wa nchi hiyo katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako