• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jumuiya ya OPEC yasema akiba ya mafuta itaendelea kupungua

    (GMT+08:00) 2017-07-13 09:35:32

    Katibu mkuu wa jumuiya ya nchi zinazozalisha mafuta OPEC Bw. Mohammed Barkindo amesema, akiba ya mafuta itaendelea kupungua, na kupandisha bei ya mafuta katika nusu ya pili ya mwaka huu.

    Kwenye mkutano wa 22 wa mafuta duniani uliofanyika huko Istanbul, Bw. Barkindo amesema pande mbalimbali zitatekeleza makubaliano yaliyofikiwa mwaka jana na nchi za OPEC na nchi zinazozalisha mafuta zisizo wanachama wa OPEC kuhusu kupunguza uzalishaji wa mafuta, ili kuongeza bei ya mafuta.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako