• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UNHCR: Ethiopia yapokea wakimbizi zaidi ya laki 8.4

    (GMT+08:00) 2017-07-13 09:52:44

    Wakimbizi 6,186 wameandikishwa nchini Ethiopia katika mwezi Juni na kuifanya idadi ya jumla ya wakimbizi walioandikishwa nchini humo kufikia laki 8.4.

    Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesema, limepata asilimia 23 tu ya dola za Marekani milioni 307.5 zinazohitajika kuwasaidia wakimbizi nchini humo.

    Habari zinasema, wakimbizi wengi nchini Ethiopia wanatoka Somalia, Sudan Kusini na Eritrea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako