• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wanariadha wa Uganda watupwa nje mashindanoni

  (GMT+08:00) 2017-07-13 10:38:48
  Wanariadha wawili kutoka Uganda wamepigwa marufuku katika siku ya ufunguzi wa mashindano ya riadha ya chipukizi wasiozidi miaka 18 katika uwanja wa Kasarani mjini Nairobi, Kenya. Wale walitemwa kwenye mashindano hayo ni Emmanuel Goni kwenye mashindano ya mita 200 na Eric Layeng aliyeshiriki mita 400m. Marufuku hiyo ilitokana na kile kilichotajwa kuwa ukiukaji mstari. Tukio hili karibu kuharibu ndoto ya Uganda kwani wanariadha wake wawili tu walifuzu fainali za mita 1500.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako