• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Timu ya Gofu Rwanda yaimarisha maandalizi ya EA Challenge

  (GMT+08:00) 2017-07-13 10:39:18
  Kikosi cha gofu kutoka taifa ya Rwanda kimezidi kunoa makali yake kupitia maandalizi kabambe kambla ya kuingia mashindano ya East Afrika Golf Challenge. Mashindano hayo ambayo yameratibiwa kufanyika kwa siku tano kutoka Agosti 22-26 kwenye uwanja wa Gymkhana Golf Club jijini Dar es Salaam imevutia nchi sita ambazo ni; Kenya, Uganda, Ethiopia, Rwanda, Burundi na wenyeji Tanzania. Hata hivyo, kulingana na nahodha wa Kigali Golf Club Davis Kashaka, maandalizi yamekumbwa na matatizo kutokana na ukosefu wa vifaa vya mafunzo.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako