• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Murray abanduliwa kwenye michuano ya Wimbledon

  (GMT+08:00) 2017-07-13 10:40:37
  Bingwa mtetezi wa michuano ya Wimbledon Andy Murray alilambishwa sakafu kwenye mashindano hayo na Sam Querrey katika hatua ya nusu fainali. Murray ambaye amekuwa na majeraha hakuweza kucheza vizuri katika mechi huo. Querrey mwenye umri wa miaka 29, alishinda Murray kwa seti 3-6, 6-4, 6-7, 6-1, 6-1 na kuwa Mmarekani wa kwanza kufanya hivyo tokea Andy Roddick alipofika katika hatua hiyo mwaka 2009. Murray mwenye umri wa miaka 30, aliongoza awali lakini maumivu ya goti yalimfanya ashindwe kuuhimili mchezo. Raia huyo wa Scotland ameedelea kushikilia namba moja kutokana na majeraha aliyoyapata Novak Djokovic kutoka Croatia. Querrey sasa atavaana na Marin Cilic kutoka Croatia katika nusu fainali
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako