• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan yaamua kusimamisha mazungumzo na Marekani kuhusu kuondoa vikwazo

    (GMT+08:00) 2017-07-13 17:43:54

    Rais Omar al-Bashir wa Sudan ameamua kuahirisha mazungumzo na Marekani kuhusu kuondoa vikwazo hadi tarehe 12 Oktoba mwaka huu.

    Rais Bashir ametoa kauli hiyo ikiwa ni majibu kwa uamuzi uliotolewa na Marekani jumanne wiki hii wa kuahirisha kufikia makubaliano ya kuiondolea rasmi Sudan vikwazo vya kiuchumi baada ya miezi mitatu.

    Waziri wa mambo ya nje wa Sudan Bw. Ibrahim Ghandour ameeleza kusikitishwa kwake na uamuzi huo wa Marekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako