• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: Safari za Rwandaair kukuza ushirikiano kati ya Uingereza na Rwanda

  (GMT+08:00) 2017-07-13 18:55:24

  Ushirikiano wa kibiashara na kibalozi kati ya Rwanda na Uingereza unatarajiwa kuimarika hata zaidi baada ya kuanzishwa kwa safari za moja kwa moja za ndege kutoka Kigali hadi London.

  Akizungumza kwenye hafla ya kukaribisha kuanza kwa ziara hizo, balozi wa Rwanda nchini Uingereza Yamina Karitanyi amesema kufuatia kuanzishwa kwa safari hizo na shirika la RwandAir sasa utalii unatarajiwa kuimarika.

  Karitanyi amesema Kigali na London zina matumaini makubwa pia kwenye ukuaji wa sekta za biashara, uwekezaji na ubadilishanaji wa

  Naibu mkurungezi wa mawasiliano wa RwandAir Yvonne Makolo amesema shirika hilo bado liko kwenye mchakato wa kuomngeza maeneo inakohudumu na kuanza safari Brussels na New York.

  Shirika hilo kwa sasa linahudumu katika maeneo 22.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako