• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni katika China bara umeongezeka kwa mwezi Juni

    (GMT+08:00) 2017-07-13 18:56:44

    Uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni katika China bara umeongezeka kwa asilimia 2.3 kwa mwezi Juni ikilinganishwa na mwaka jana wakati kama huo na kufikia dola za kimarekani bilioni 14.82.

    Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Biashara ya China imesema, mwezi uliopita, kampuni zaidi ya elfu mbili za kigeni zilianzishwa, ikiwa ni ongezeko la asilimia 14.3 ikilinganishwa na mwaka jana.

    Msemaji wa wizara hiyo Gao Feng amesema, uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni ulikuwa wa utulivu katika nusu ya kwanza ya mwaka huu, na mfumo huo unaendelea kuwa na matarajio mazuri.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako