• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mobisol yaepata mkopo wa euro milioni 10 kupanua oparesheni Afrika mashariki.

  (GMT+08:00) 2017-07-13 18:57:58

  Kampuni ya kawi ya miale ya jua ya Ujerumani Mobisol imepata mkopo wa euro milioni 10 kutoka Finnfund ambazo itatumia kupanua oparesheni Afrika mashariki.

  Mwezi machi Mobisol iilitangaza mipango ya kufungua maduka 20 zaidi nchini Kenya ikilenga hasa kuletea kawi wati wanaoishi vijijini.

  Mkurungezi wa kampuni hiyo Thomas Gottschalk amesema pesa hizo zitatumika kupanua biashara zake nchini Tanzania, Rwanda na Kenya mbako hadi sasa imeweka paneli za munasa kawi ya jua za hadi megawati 10.

  Mobisol, ambayo huuza bidhaa zake moja kwa moja kwa wateja imefungua tawi jipya mjini Kisumu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako