• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Palestina asisitiza kupinga kithabiti ujenzi wa makazi ya wayahudi

    (GMT+08:00) 2017-07-14 08:51:44

    Rais Mahmoud Abbas wa Palestina amesisitiza msimamo thabiti wa kuipinga Israel kujenga makazi ya wayahudi na vitendo vingine vya kuzuia utekelezaji wa mpango wa nchi mbili. Akizungumza na mjumbe maalumu wa rais wa Marekani Bw. Jason Greenblatt jana mjini Ramallah, rais Abbas amesema ujenzi wa makazi ya wayahudi na kitendo cha Israel kuhalalisha ujenzi wa makazi hayo katika kando ya magharibi ni hatua zinazohujumu juhudi za rais Donald Trump wa Marekani za kurejesha mchakato wa amani, na pia kuzuia utekelezaji wa mpango wa nchi mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako