• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Nyota wa Tennis Venus Williams amezea mate taji la Wimbledon

  (GMT+08:00) 2017-07-14 10:26:52
  Matumaini ya Muingereza Johanna Konta kufika fainali za Wimbledon yalifika kikomo baada ya kuchapwa na nyota Venus Williams wa Marekani katika hatua ya nusu fainali.

  Venus mwenye miaka 37 alicheza kwa umakini mkubwa zaidi na kushinda kwa seti 6-4 6-2.

  Konta anayeshikilia nafasi ya sita kwa ubora duniani, alitegemea kufika fainali hizo na kuwa wa kwanza kufanya hivyo kwa Uingereza tokea mwaka 1977.

  Venus ambaye ni dadake Serena, sasa atachuana na Garbine Muguruza wa Hispania kwenye fainali

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako