• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wanamasumbwi Mayweather na McGregor watupiana cheche za maneno

  (GMT+08:00) 2017-07-14 10:27:11
  Floyd Mayweather na mpinzani wake Conor McGregor waliendelea kurushiana cheche za maneno katika siku ya pili ya kampeni ya kuuza pigano lao mnamo mwezi Agosti mjini Las Vegas.

  Aliyekuwa bingwa wa dunia mara tano katika uzani wa middleweight Mayweather Junior alikutana tena na bingwa wa uzani wa lightweight mpiganaji McGregor.

  McGregor mwenye umri wa miaka 28 alicheza densi katika jukwaa akimkosoa Mayweather mwenye umri wa miaka 40.

  Wawili hao watakutana katika piogano lka raudni 12 chini ya sheria za ndondi tarehe 26 mwezi Agosti.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako