• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Gharama ya kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya kwa Uingereza si athari kubwa kwa fedha ya Uingereza

    (GMT+08:00) 2017-07-14 18:13:06
    Ofisi ya bajeti ya Uingereza tarehe 13 ilitoa ripoti ikisema kuwa, gharama ya kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya haitaathiri kwa kiasi kikubwa kwa hali ya fedha ya Uingereza.

    Ripoti hiyo kuhusu tishio la fedha imesema sekta mbalimbali zinafuatilia mazungumzo kati ya Uingereza na Umoja wa Ulaya kuhusu Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya, ingawa gharama ya kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya ni kubwa, lakini haitaathari vibaya hali ya fedha ya Uingereza. Lakini kufikia makubaliano ya biashara kati ya Uingereza na Umoja wa Ulaya na wenzi wengine wa kibiashara, ni muhimu zaidi kwa ongezeko la uchumi wa Uingereza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako