• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Safaricom kukatiza huduma za Mpesa kwa saa nne Jumamosi

  (GMT+08:00) 2017-07-14 19:13:49

  Kampuni ya mawasiliano ya Kenya Safaricom imesema huduma zake za Mpesa zitakatizwa kwa saa nne hapo kesho ili kutoa nafasi kwa oparesheni ya kuboresha huduma hiyo. Awali kulikuwa n ataarifa kuwa huduma hiyo ilikuwa ikatizwe kwa muda wa saa 11 lakini mkurugenzi wa kampuni hiyo bwana Bob Collymore amepinga taarifa hiyo. Collymore amesema wameamua kuchukua hatua hiyo ili kuongeza programmu nyingine kwenye huduma hiyo kwa lengo la kuwavutia zaidi wateja wake.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako