• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mfumuko wa bei wapungua Tanzania

  (GMT+08:00) 2017-07-14 19:15:37

  Mfumuko wa bei nchini Rwanda umepungua hadi asilimia 4.5 kutoka asilimi 6.5 katika mwezi wa mei. Kwa mujibu wa idara ya takwimu nchini humo, asilimia hiyo bado iko juu ikilinganishwa na asilimia 4.1 iliyoandikishwa mwaka jana. Kupungua huko kumetokana na kupungua kwa bei ya vyakula pamoja na vinywaji visivyolewesha hadi asilimia 9.8 katika mwezi wa juni kutoka asilimia 14.3 iliyoandikishwa katika mwezi wa mei. Hata hivyo bei ya nyumba, mafuta, maji, umeme, usafiri na gesi imeongezeka kwa kati ya asilimia 1.5 na 4.6.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako