• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China asisitiza umuhimu wa kusukuma mbele maendeleo mazuri ya mambo ya fedha

    (GMT+08:00) 2017-07-16 16:48:03

    Mkutano wa kazi za fedha wa China ulifanyika juzi Ijumaa na kumalizika jana jumamosi. Rais Xi Jinping wa China alihudhuria mkutano huo na amesisitiza kuwa fedha ni nguvu muhimu ya ushindani ya nchi moja, usalama wa fedha ni sehemu muhimu ya usalama wa taifa, na mfumo wa fedha ni mfumo wa kimsingi wa maendeleo ya uchumi na jamii. China inatakiwa kufuata kanuni za maendeleo ya fedha, kuhudumia uchumi halisi, kukinga matishio mbalimbali, kuimarisha mageuzi ya mambo ya fedha, kuboresha udhibiti wa fedha, kukamilisha mfumo wa soko la fedha, kuhakikisha usalama wa mambo ya fedha, na kusukuma mbele mzunguko na maendeleo mazuri ya uchumi na fedha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako