• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Trump wa Marekani ateua mshauri maalumu wa sheria ili kukabiliana na uchunguzi kuhusu tukio la kuwasiliana na Russia

    (GMT+08:00) 2017-07-16 16:48:44

    Ikulu ya Marekani jana imetangaza kuwa, rais Donald Trump wa Marekani amemteua Bw. Ty Cobb kuwa mshauri maalumu wa mambo ya sheria wa Ikulu ya Marekani. Vyombo vya habari vya Marekani vimesema, kwa niaba ya Ikulu ya Marekani, Bw. Cobb atashughulikia uchunguzi kuhusu matukio ya Russia kuingilia kati uchaguzi wa urais nchini Marekani na upande wa rais Trump kuwasiliana na Russia.

    Mtoto wa rais Donald Trump Bw. Donald Trump Jr. aliripotiwa kukutana na mwanasheria wa Russia katika kipindi cha uchaguzi mkuu ili kupata nyaraka zilizotolewa na serikali ya Russia dhidi ya mgombea wa chama cha Demokrasia Bi. Hillary Clinton.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako