• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa Libya atoa wito wa kufanya uchaguzi mpya

    (GMT+08:00) 2017-07-17 08:58:28

    Waziri mkuu wa Libya Bw. Fayez Serraj anayeungwa mkono wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kufanyika kwa uchaguzi mpya wa rais na wabunge mwezi Machi mwaka kesho. Bw. Serraj pia ametaka mapambano yote nchini Libya, licha ya yale dhidi ya ugaidi, yasitishwe mara moja kwa mujibu wa makubaliano ya kisiasa ya Libya na ya kimataifa, ili kuweka mazingira ya kukomesha mgogoro nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako