• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda yajishindia dhahabu ya kwanza kabisa kwenye mashindano ya walemavu

  (GMT+08:00) 2017-07-17 10:35:13

  Mwanariadha mlemavu kutoka Uganda David Emong sasa ndiye bingwa wa dunia baada ya kushinda dhahabu katika mbio za mita 1500 kwenye mashindano ya walemavu yaliyoandaliwa jijini London.

  Emong alitwaa taji hilo baada ya kukimbia kutoka nyuma na kumpiku mpinzani wake ambaye ni bingwa wa mbio hizo mwaka wa 2016 Samir Nouioua kutoka Algeria aliyemaliza wa pili.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako