• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Federer aweka rekodi kwa kushinda taji la Wimbledon kwa mara ya nane

  (GMT+08:00) 2017-07-17 10:46:24

  Mchezaji wa tenesi Roger Federer ameweka historia ya kuwa mchezaji wa kwanza kutwaa taji la michuano ya Wimbledon, kwa mara nane.

  Federer ametwaa taji hilo la Grand Slam baada ya kumshinda mpinzani wake Marin Cilic, kwa jumla ya seti tatu.

  Hili ni taji la 19 la Grand Slam kwa mchezaji huyu raia wa Switzerland, na kuwa mchezaji mkubwa zaidi kutwaa mataji yote ya michuano ya wazi ya England.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako