• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uchumi wa China waongezeka kwa asilimia 6.9 katika nusu ya kwanza ya mwaka huu

  (GMT+08:00) 2017-07-17 18:25:45

  Idara ya takwimu ya China leo imetangaza kuwa, , thamani ya jumla ya uzalishaji nchini China imefikia yuan trilioni 38.149(sawa na dola za kimarekani trilioni 5.635 ) katika nusu ya kwanza ya mwaka huu, na kuongezeka kwa asilimia 6.9 kuliko mwaka jana wakati kama huu.

  Msemaji wa idara ya takwimu ya China Bw. Xing Zhihong amesema, uchumi wa China unaongezeka kwa utulivu, upatikanaji wa ajira umeboreshwa, bei ya bidhaa imeendelea kuwa tulivu, kipato cha raia kimeongezeka, na miundo ya kiuchumi inaboreshwa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako