• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Watu 12 wauawa katika shambulizi la kujitoa mhanga kaskazini mashariki mwa Nigeria

  (GMT+08:00) 2017-07-17 18:30:22

  Watu 12 wameuwawa baada ya kutokea milipuko miwili ya kujitoa muhanga mjini Maiduguri, kaskazini mashariki mwa Nigeria mapema leo.

  Mwanamke anayetuhumiwa kuwa mshambuliaji wa kujitoa mhanga alijilipua katika msikiti ulioko eneo la London Ciki na kusababisha vifo vya watu 10. Shambulizi hilo lilifuatiwa na shambulizi lingine lililosababisha vifo vya watu wawili katika mji wa Molai uliopo pembezoni mwa mji mkuu wa mkoa wa Borno, Maiduguri.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako