• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ethiopia: Ujenzi wa eneo ya viwanda vya dawa 

  (GMT+08:00) 2017-07-17 19:59:21
  Ujenzi wa eneo ya viwanda vya dawa katika eneo la Kilento huko Addis Ababa inaonekana kuongezea thamani katika kubadilisha sekta ya afya.

  Eneo hili la tarajiwa kukamilika kwa miezi minane, ni matokeo ya mkakati wa maendeleo ya dawa ya taifa.

  Eneo hili la viwanda vya dawa itapunguza uagizaji wa dawa kutoka nje kwa kiasi kikubwa.

  Eneo hili la dawa inathibitisha uwezekano wa soko kwa wawekezaji wakati wa itakamilika.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako