• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: hakuna habari nzuri bei ya sukari ikibakia juu

    (GMT+08:00) 2017-07-17 19:59:41
    Wanunuzi wa sukari watendelea kununua bidhaa hiyo kwa bei ya juu baada ya mdhibiti wa sekta aliua matumaini ya kurudi kwa usambazaji wa kawaida wa sukari.

    Mamlaka ya Kilimo na Chakula (AFA) imesema uzalishaji wa sukari utachukua muda wa miaka mitano kurudi kawaida.

    Mkurugenzi Mtendaji wa muda mfupi Alfred Busolo amesema uagizaji wa bure kutoka kwa Soko la Pamoja kwa Afrika Mashariki na Kusini (Comesa) pia inatarajia kupanua zaidi ya kiwango cha kawaida cha tani 200,000.

    Bw Busolo anatarajia kiasi cha sukari kuongezeka hadi tani 250,000 na 300,000 mwaka huu.

    Kuondolewa kwa kodi ulikuwa unatarajiwa kuleta chini gharama ya sukari hadi sh 120 kwa kilo, lakini bado haijafanyika maduka mengi ya rejareja bado yanaiuza Sh200.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako