• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: ongezeko la ada za umeme

  (GMT+08:00) 2017-07-17 20:00:01

  Kuongezeka kwa ada za umeme mwezi huu imepanda juu baada ya mdhibiti wa nishati kurekebisha kwa kupandisha na gharama.

  Ada imeongezeka kwa asilimia 8.3 na kufikia sh 0.39 kwa kilowatt kwa saa (kWh) kutoka sh 036 mwezi juni.

  Hii ni rekodi kubwa katika soko la umeme la Kenya kutoka chini ya Sh0.05 kwa kitengo mwaka 2009, takwimu kutoka kwa Tume ya Udhibiti wa Nishati (ERC) inaonyesha.

  Kiwango cha mfumuko wa bei nchini Kenya kimekuwa juu ya asilimia 10, miaka mitano juu, tangu Machi kabla kushuka kwa asilimia 9.21 mwezi Juni.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako