• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping aongoza mkutano wa 16 wa kikundi cha uongozi wa mambo ya fedha cha serikali kuu ya China

  (GMT+08:00) 2017-07-17 20:50:36

  Rais Xi Jinping wa China leo mchana ameongoza mkutano wa 16 wa kikundi cha uongozi wa mambo ya fedha cha serikali kuu ya China.

  Katika mkutano huo, rais Xi amesisitiza kuwa China inatakiwa kuboresha mazingira ya uwekezaji na soko, kuharakisha ufunguaji mlango, kushusha gharama ya kuendesha soko, kuanzisha mazingira tulivu yenye haki na uwazi ya biashara, kuharakisha ujenzi wa utaratibu mpya wa kiuchumi, na kusukuma mbele maendeleo endelevu ya uchumi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako