• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kikosi cha muda cha Rwanda kitakachoshiriki EA Golf Challenge chazinduliwa

    (GMT+08:00) 2017-07-18 10:48:30

    Kocha wa timu ya taifa ya Gofu ya Rwanda Jules Mutesa amechagua kikosi cha wachezaji 12 wakati timu hiyo inaendelea na maandalizi kwa ajili ya mashindano ya Golf Challenge ya Afrika Mashariki itakayoandaliwa Agosti 22-26, jijini Dar es Salaam, Tanzania.

    Timu hiyo baadaye itapunguzwa hadi wachezaji tisa (nane katika timu rasmi na mmoja kama mchezaji wa ziada), ambao watasafiri kwenda Dar es Salaam kabla ya toleo la 19 ya mashindano hayo kungoa nanga.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako