Kiwanda hicho kitatengenezwa na shirika la China Camc ili kumaliza ukosefu wa umeme wa kutosha katika eneo hilo.
Miji hiyo miwili katika eneo la kasakazini mwa Kenya imekumbwa na changamoto nyingi za ukosefu wa umeme kwa mda mrefu.
Mradi huo utakamilimishwa kwa mda wa miezi 24 na utazalisha umeme wa kilovolt 220 .
Aidha mradi huo unatarajiwa pia kusambaza umeme katika sehemu nyingine mashinani nchini Kenya.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |