• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa shirikisho la kandanda la Uhispania akamatwa

  (GMT+08:00) 2017-07-19 14:08:44

  Rais wa shirikisho la kandanda nchini uhispania na mtoto wake wa kiume wamekamatwa kama sehemu ya uchunguzi wa polisi kuhusu ufisadi.

  Angel MarĂ­a Villar Llona alikamatwa kwa kushukiwa kuvuja pesa. Villar ambaye ni mchezaji wa zamani wa kimataifa ya Uhispania amekuwa rais wa shirikisho la kandanda la uhispania tangu mwaka 1988.

  Mwanawe wa kiume Gorka ni kati ya watu waliokamatwa wakati wa uvamizi uliofanywa mara kadha mapema hapo jana.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako