• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Timu ya voliboli ya wanaume kutoka Rwanda tayari kwa mashindano

    (GMT+08:00) 2017-07-19 14:11:06

    Kocha mkuu wa kikosi cha voliboli ya wanaume kutoka Rwanda Paul Bitok anasema timu yake iko tayari kwa ajili ya mashindano ya Zone 5 itakayoanza Julai 21 jijini Kigani.

    Mashindano hayo yamevutia nchi nne zikiwemo; Kenya, Uganda, Rwanda na Sudan Kusini.

    Kikosi cha Bitok sasa kiko katika kambi ya makazi katika hoteli ya Golden Tulip ikifanya mafunzo mara mbili kwa siku kwa ajili ya maandalizi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako