• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: NHC imepata sh trilioni 4.5 kwa ajili ya mradi Dar

    (GMT+08:00) 2017-07-19 19:06:30

    Shirika la kitaifa la Nyumba (NHC) imepata mkopo wa dola 2 bilioni (Sh4.5 trillion) kutoka benki ya PTA tawi la kifedha la Comesa ili kujenga kituo cha biashara na mji mkuu katika eneo la Kawe, viungani mwa jiji kuu la Dar es Salaam.

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Nyumba Nahemia Mchechu amesema, mradi huo umepangwa kukamilika mwaka wa 2020.

    Benki ya PTA ni imewekwa wazi kwa mataifa yasiyo ya Comesa kama Tanzania.

    Mchemu aidha amesema mradi huu ukikamilika utakuwa na biashara chungu nzima, na itapatia nafasi angalu watu 50,000 kufanyabiashara zao kwa masaa 20.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako