• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China asisitiza kuimarisha mageuzi katika chama cha kikomunisti cha China

    (GMT+08:00) 2017-07-19 20:39:37

    Katibu mkuu wa kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China ambaye pia ni rais wa China Xi Jinping ameongoza mkutano wa 37 wa kikundi cha uongozi wa kazi ya kuimarisha mageuzi katika pande zote cha kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China leo mchana. Amesisitiza kuwa sehemu mbalimbali za China zinatakiwa kufuata mpango wa sera za mageuzi za kamati kuu ya chama, kusukuma mbele mageuzi kwa kuhudumia kazi za chama na taifa, na kutekeleza kihalisi hatua mbalimbali za mageuzi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako