• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ofisa wa ujasusi wa Somalia anusurika shambulizi la bomu Mogadishu

  (GMT+08:00) 2017-07-20 09:59:28

  Ofisa mmoja wa ujasusi wa Somalia amenusurika kwenye shambulizi la bomu lililotegwa kwenye gari lake na kulipuka anapoingia gari lake karibu na makao makuu ya wizara ya michezo mjini Mogadishu.

  Ofisa wa polisi Abdirizak Nur amesema, ofisa huyo amejeruhiwa lakini hali yake si mbaya. Bw Nur amesema, bomu hilo lilikuwa linamlenga ofisa huyo, na uchunguzi unaendelea.

  Mpaka sasa hakuna kundi lolote lilitaja kuwajibika na shambulizi hilo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako