• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Nyota wa Gofu Rory McIlroy ataka ushindi zaidi

  (GMT+08:00) 2017-07-20 11:59:49

  Nyota wa Gofu Rory McIlroy anasema anataka kushinda "majors zaidi ya nne" katika kipindi cha miaka 10, kabla ya kuanza kwa mashindano ya The Open katika ukumbi wa Royal Birkdale baadaye leo.

  Mchezaji huyo anayeorodheshwa wa nne duniani, alishinda medali ya fedha kama mwanaridhaa alipoingia mchezo wa Open kwa mara ya kwanza mwaka 2007 na akawa mchezaji wa kulipwa miezi miwili tu baadaye.

  McIlroy, mwenye umri wa miaka 28, alishinda majors tatu kati ya nne alizonazo katika mashindano ya The Open mwaka 2014 na anasema sasa yuko katika hali nzuri ya kushinda taji lingine.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako