• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SADC yakataa ombi la Burundi la kutaka uanachama

    (GMT+08:00) 2017-07-21 09:00:28

    Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika SADC imekataa ombi la Burundi la kujiunga na jumuiya hiyo kwa kudai kuwa nchi hiyo bado haijakidhi vigezo vinavyotakiwa. Mwenyekiti wa kamati ya mawaziri wa SADC inayoshughulikia siasa na ushirikiano wa ulinzi na usalama Dk. Augustine Mahiga amesema hali ya kisiasa nchini Burundi bado haijatulia kuiruhusu nchi hiyo ijiunge na jumuiya hiyo ya kikanda. Burundi imeshuhudia msukosuko wa kisiasa tangu vurugu ziibuke miaka miwili iliyopita baada ya rais Pierre Nkurunziza kunyakua urais kwa muhula wa tatu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako