• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yalaani ripoti ya Marekani ya kuiorodhesha kuwa nchi zinazounga mkono ugaidi

    (GMT+08:00) 2017-07-21 12:27:37

    Wizara ya mambo ya nje ya Iran jana imelaani ripoti iliyotolewa na wizara ya mambo ya nje ya Marekani kuhusu hali ya ugaidi duniani na kusema haina msingi wowote.

    Ripoti hiyo inaiorodhesha Iran kuwa moja ya nchi zinazounga mkono ugaidi, na kusema Iran inaunga mkono makundi ya kigaidi nchini Iraq na Syria.

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa Iran Bahram Qasemi amesema, ripoti hiyo haizingatia hali halisi, na kwamba Iran iko mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya ugaidi katika kanda hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako