• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 11 wafariki katika ajali ya lori nchini Zambia

    (GMT+08:00) 2017-07-21 20:49:47

    Watu zaidi ya 11 wamefariki na wengine 29 wamejeruhiwa katika ajali ya lori, katika eneo la Mazabuka, Zambia.

    Kamishna wa polisi Bw Bonnie Kapeso amesema, lori moja lililobeba watu 40 lilianguka kwenye mfereji wa maji wakati wa usiku na kusababisha vifo vya wanaume 6, wanawake wawili na watoto watatu.

    Habari kutoka polisi zimesema, ajali hiyo imetokana na dereva kutokuwa mzoefu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako