• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mjumbe wa China ahimiza pande zote kutafutaufumbuzi wa kisiasa wa mgogoro nchini Syria

    (GMT+08:00) 2017-07-23 19:21:06

    Mjumbe maalum wa China nchini Syria Xie Xiaoyan amezitaka pande zote kutafuta ufumbuzi wa kisiasa wa mgogoro wa Syria na kuepuka nchi hiyo kugawanyika.

    Baada ya kukutana na viongozi wa Syria na Iran hivi karibuni katika jitihada zake za upatanishi, Xie aliliambia shirika la habari la China Xinhua kuwa, nchi hizo mbili zilisisitiza kuwa uhuru wa Syria na urithi wa taifa lazima vilindwe wakati wa kukabiliana na mgogoro wa miaka na kufikiria jinsi ya kutatua mgogoro wa Syria.

    Xie amesema China haijawahi kubadili msimamo wake, kuwa mgogoro wa Syria lazima kutatuliwa kisiasa, na wakati huo huo, masuala mengine ikiwa ni pamoja na mazungumzo ya kisiasa, usimamishaji wa vita, mgogoro wa kibinadamu na mapambano dhidi ya ugaidi, u

    China imetoa misaada ya kibinadamu yenye thamani ya Yuan milioni 680 sawa na dola za kimarekani milioni 100.5 kwa watu wa Syria kupitia njia mbalimbali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako