• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wahamiaji tisa wafariki baada ya kukwama ndani ya tela la trekta jimboni Texas, Marekani

    (GMT+08:00) 2017-07-24 09:27:11

    Wahamiaji tisa wanaume wamethibitishwa kufariki dunia baada ya kukwama ndani ya tela la trakta kwenye eneo la maegesho la supamaketi ya Walmart mjini San Antonio, Taxas. Kwa mujibu wa wizara ya usalama wa ndani, watu wengine wapatao 30 waliogunduliwa wakiwa hai kwenye tela hiyo wamekimbizwa hospitali. Mpaka sasa polisi bado hawajathibitisha wahamiaji hao wanatoka nchi gani na wanaelekea wapi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako