• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Basi dogo la abiria lashambuliwa na watu wasiojulikana magharibi mwa Burundi

    (GMT+08:00) 2017-07-24 09:27:30

    Polisi nchini Burundi wamesema watu wasiojulikana waliokuwa na bunduki jumamosi usiku walishambulia basi dogo la abiria lililokuwa na watu wawili kwenye eneo la Buganda katika mkoa wa Cibitoke, ambapo dereva aliuawa papo hapo na abiria alijeruhiwa vibaya na kupelekwa hospitali mjini Bujumbura. Polisi wamesema wizi na mashambulizi ya ghafla yanatokea mara kwa mara kwenye barabara inayounganisha Bujumbura na Cititoke na vijiji vilivyoko karibu na msitu wa Rukoko kwenye eneo la Gihanga.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako