• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Polisi wanne wa Kenya wakamatwa kwa uporaji

    (GMT+08:00) 2017-07-24 10:18:14

    Mamlaka nchini Kenya imesema, polisi wanne wa Kenya wamekamatwa kwa tuhuma za kujihusisha na uporaji katika barabara kuu ya Nairobi-Nakuru.

    Wapelelezi wa polisi wamesema watuhumiwa hao walishambulia na kumpora raia mmoja wa China aliyekuwa kwenye gari kwenda Bomet kutoka Nairobi.

    Dereva wa huyo mchina pia amekamatwa kwa kuhusika na tukio hilo, na wapelelezi wamesema alidokeza habari ya njia wanayopita kwa washambuliaji asubuhi ya jumamosi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako