• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Shambulizi la mabomu lililotokea nchini Afghanistan lasababisha vifo vya watu 24

    (GMT+08:00) 2017-07-24 20:06:09

    Wizara ya mambo ya nje ya Afghanistan leo imetoa taarifa ikisema kuwa shambulizi la mabomu yaliyotegwa kwenye gari lililotokea leo alfajiri huko Kabul limesababisha vifo vya raia wasio na hatia 24 na wengine 42 kujeruhiwa..

    Kwa mujibu wa habari, mlipuko huo ulitokea karibu na makazi ya naibu mtendaji wa Afghanistan Bw. Mohammad Mohaqiq. Bado haijathibitishwa kama Bw. Mohaqiq alikuwepo ndani ya makazi yake au la wakati wa mlipuko huo.

    Mpaka sasa hakuna shirika lolote au mtu yeyote aliyetangaza kuhusika na shambulizi hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako